Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Profesa Riziki Shemdoe - Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi akiwasili katika Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi – Tanzania kwa ajili ya kutoa Mhadhara kwa Washiriki wa Kozi ya Kumi na Mbili tarehe 12/12/23.