Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje , Ulinzi na Usalama (NUU) ikiongozwa na Mhe. Vita Rashid Kawawa (MB) – Mwenyekiti wa Kamati, pamoja na Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax – Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (MB), wamefanya ziara Chuo Cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania, kuona maendeleo ya ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Washiriki wa Kozi tarehe 16 Machi, 2024.