Ziara ya Kimafunzo katika vyombo vya Ulinzi na Usalama tarehe 19 Februari, 2024.
Ziara ya Kimafunzo katika vyombo vya Ulinzi na Usalama tarehe 19 Februari, 2024.
Ujumbe wa Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi -Tanzania ukiongonzwa na Meja Jenerali WA Ibuge, ulipotembelea Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Africa Mashariki wakati walipokuwa katika Ziara ya Kimafunzo katika vyombo vya Ulinzi na Usalama tarehe 19 Februari, 2024.