Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Ziara ya Kimafunzo Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji tarehe 20 Februari, 2024.

Baadhi ya Washiriki wa Kozi ya Kumi na mbili, wakifuatilia hotuba iliyokuwa ikitolewa na Brigedia Jenerali CJ Ndiege - Afisa Mwandamizi Elekezi Jeshi la Nchi Kavu wakati wa Ziara ya Kimafunzo Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji tarehe 20 Februari, 2024.