Washiriki wa Kozi ya 14 wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi -Tanzania wamepata fursa ya kumsikiliza Mhe. Profesa Palamagamba John Kabudi (MB) – Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu alipotembelea Chuoni hapo kwa ajili ya kutoa mhadhara kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 17 Juni 2026.

Hakuna Taarifa kwa sasa