Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Ujumbe wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi ukiongozwa na Brigedia Jenerali CJ Ndiege – Mkufunzi Mwandamizi Elekezi, pia umetembelea Uwanja wa Ndege wa Songwe Mkoani Mbeya wakati wa ziara ya kimafunzo mkoani humo tarehe 08 Januari 2024.