Ujumbe wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi ukiongozwa na Brigedia Jenerali CJ Ndiege – Mkufunzi Mwandamizi Elekezi, umetembelea katika Kituo cha Kisumulu cha Huduma ya Pamoja Mpakani Kati ya Tanzania na Malawi wakati wa ziara ya kimafunzo tarehe 13 Januari 2024.