Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Ujumbe wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi ukiongozwa na Brigedia JeneraliCJ Ndiege – Mkufunzi Mwandamizi Elekezi, umetembelea Ofisi yaMkuuwa Mkoa wa Morogoro wakati wa ziara ya kimafunzo mkoani humo tarehe 06 Januari 2025.