Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Ujumbe wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi ukiongozwa na Brigedia Jenerali CJ Ndiege –Mkufunzi Mwandamizi Elekezi Jeshi la Ardhini, umetembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa wakati wa ziara ya kimafunzo mkoani humo tarehe 15 Januari 2024.