Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Ujumbe wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi ukiongozwa na Brigedia Jenerali CJ Ndiege – Mkufunzi Mwandamizi Elekezi, umetembelea katika Shamba la Miti Kawetire wakati wa ziara ya kimafunzo tarehe 09 Januari 2024.