Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Ujumbe wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi ukiongozwa na Brigedia Jenerali CJ Ndiege – Mkufunzi Mwandamizi Elekezi Jeshi la Ardhini, umetembelea kiwanda cha ngozi cha Taifa Ace Leather Tanzania wakati wa ziara ya kimafunzo mkoani Morogoro tarehe 07 Januari 2025.