Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Ujumbe wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi ukiongozwa na Brigedia JeneraliCJ Ndiege – Mkufunzi Mwandamizi Elekezi Jeshi la ardhini, umetembelea Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (T.A.A) wakati wa ziara ya kimafunzo mkoani Morogoro tarehe 08 Januari 2025.