Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Ujumbe wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi ukiongozwa na Brigedia Jenerali CJ Ndiege – Mkufunzi Mwandamizi Elekezi, umetembelea katoka kiwanda cha mchele cha Wilmar Rice Tanzania wakati wa ziara ya kimafunzo mkoani Morogoro tarehe 06 Januari 2025.