Ujumbe wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania ukiongozwa na Brigedia Jenerali CJ Ndiege – Mkufunzi Mwandamizi Elekezi Jeshi la Ardhini, umetembelea katika Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) – Kituo cha Kibaha wakati wa ziara ya kimafunzo mkoani Pwani tarehe 15 Januari 2025.