Ujumbe wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi ukiongozwa na Brigedia Jenerali CJ Ndiege – Mkufunzi Elekezi Mwandamizi Jeshi la Ardhini umetembelea katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha ikiwa ni sehemu ya ziara ya kimafunzo iliyofanywa na chuo mkoani humo tarehe 13 Novemba 2023.