Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Ujumbe wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi ukiongozwa na Meja Jenerali Balozi Wilbert Augustin Ibuge - Mkuu wa Chuo, umetembelea kituo cha utafiti wa kilimo TARI Ukiriguru kilichopo Mkoa wa Mwanza wakati wa ziara ya kimafunzo tarehe 09 Januari 2024.