Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Ujumbe wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania ukiongozwa na Meja Jenerali Wilbert Augustin Ibuge – Mkuu wa Chuo, umeitembelea kampuni ya Marine Service Limited iliyopo Mwanza inayotengeneza Meli ya MV MWANZA wakati waziara ya kimafunzo tarehe 10 Januari 2024.