Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Ujumbe wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi ukiongozwa na Meja Jenerali WA Ibuge – Mkuu wa Chuo umetembelea katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire ikiwa ni sehemu ya ziara ya kimafunzo iliyofanywa na chuo mkoani humo tarehe 14 Novemba 2023.